WAZIRI MKUU AZINDUA MIFUMO YA KIBIASHARA YA JIBA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua programu ya kompyuta maarufu kama JIBA App iliyotengenezwa na taasisi ya kibiashara ya Jaffery International Business Association (JIBA) tawi la Tanzania. Programu hiyo ambayo lengo lake kuu ni kutengeneza fursa za biashara, itawezesha upatikanaji wa taarifa juu ya fursa za uwekezaji za ndani na nje ya nchi na hivyo kurahisisha mawasiliano miongoni mwa